Mbunge Jacqueline Kainja Aongoza UWT Nzega Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,783
1,279
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Andrew Kainja tarehe 03 Februari, 2025 ameongoza Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaliyofanywa na Jumuia ya UWT Wilaya ya Nzega Jimbo la Bukene Kata ya Igusule.
Screenshot 2025-02-04 at 09-18-40 Instagram.png

"Tumefanikiwa kurudisha ndugu zetu wawili kutoka Chama cha Upinzani (CHADEMA). Tumefanikiwa kupanda miti kuendelea kutunza Mazingira yetu. Wananchi wa Kata ya Sigili wanafurahia maendeleo yanayofanywa na Serikali ya awamu ya sita ya mama Samia Suluhu Hassan chini ya Chama Cha Mapinduzi" - Mhe. Jacqueline Andrew Kainja

Mhe. Jacqueline Andrew Kainja ametaja miradi inayoonekana kama Mradi wa umwagiliaji, Ujenzi wa Zahanati na upatikanaji wa dawa, Ujenzi na ukarabati wa madarasa upatikanaji wa madawatu na Ujenzi wa Miundo mbinu ya Barabara kwa kiwango cha Lami.
Screenshot 2025-02-04 at 09-18-04 Instagram.png
Screenshot 2025-02-04 at 09-18-08 Instagram.png
Screenshot 2025-02-04 at 09-19-32 Instagram.png
Screenshot 2025-02-04 at 09-18-45 Instagram.png
 

Attachments

  • Screenshot 2025-02-04 at 09-09-35 Instagram.png
    Screenshot 2025-02-04 at 09-09-35 Instagram.png
    1.1 MB · Views: 2
  • Screenshot 2025-02-04 at 09-18-14 Instagram.png
    Screenshot 2025-02-04 at 09-18-14 Instagram.png
    1 MB · Views: 2
  • Screenshot 2025-02-04 at 09-18-19 Instagram.png
    Screenshot 2025-02-04 at 09-18-19 Instagram.png
    1.1 MB · Views: 2
  • Screenshot 2025-02-04 at 09-18-26 Instagram.png
    Screenshot 2025-02-04 at 09-18-26 Instagram.png
    1 MB · Views: 2
  • Screenshot 2025-02-04 at 09-18-35 Instagram.png
    Screenshot 2025-02-04 at 09-18-35 Instagram.png
    1 MB · Views: 2
  • Screenshot 2025-02-04 at 09-19-18 Instagram.png
    Screenshot 2025-02-04 at 09-19-18 Instagram.png
    882.2 KB · Views: 2
  • Screenshot 2025-02-04 at 09-19-22 Instagram.png
    Screenshot 2025-02-04 at 09-19-22 Instagram.png
    1.2 MB · Views: 2
  • Screenshot 2025-02-04 at 09-19-27 Instagram.png
    Screenshot 2025-02-04 at 09-19-27 Instagram.png
    904.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom