Nimeangalia mahojiano yake na millard nimegundua vitu vingi juu yake
1. Uwezo wake wa kufikiri ni hafifu
2. Uelewa wake wa mambo ni mdogo mnoo (anaweka porojo kwenye maswala ya msingi mf. anaulizwa kuhusu elimu yake anaanza toa hotuba)
3. Ni wazi nafasi aliyonayo hajui uzito wake(hajajitambua yeye ni nani) kwani anatishia eti "AM A LEADER" kwani kuwa leader ndo kukufanye uende nje ya mstari?
4. Anaongea pasipo break anazidi cherehani spidi, akiulizwa swali moja yeye anatoa hotuba badala ya kujibu kwa hoja
5. Body language yake ni ushahidi kuwa something is behind(WATU WA PHYSIOLOGY WANAELEWA NACHOMAANISHA)
6. Ni mjanja mjanja ni aina ya watu flani ambao hupenda kujua vitu juu juu, mf. Kujua kwake maneno kadhaa ya kiingereza anadhani ni mwelevu kuliko (MACHO NA MDOMO ANAPOZUNGUMZA)