Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 362
- 974
Ukiwa kwenye usingizi usio fofofo si rahisi kutomsikia mbu akinyemelea damu kwako na haraka utachukua maamuzi ya kumdhuru au kumkwepa na hivyo kusitisha LENGO LAKE.
Ipo hivyo kwa binaadamu pia kuna ambao wana tabia za Mbu kupiga kelele nyingi kabla ya safari na mwishoni kuzuiwa.
Unataka kurudi shule wewe ni mwajiriwa unaanza kelele nyingi mpaka mwisho wa siku linabaki lengo kwenye makaratasi tu tayari walishakupa sumu ya KUGHAIRI.
Wewe ni mfanya biashara kuna mzigo mpya unataka kuagiza kelele nyingi mpaka unavutia vibaka au watu ambao watafanya chini juu mzigo usifanikiwe kuagizwa au hata ukiagiza usifike
Unachoweka wazi sana mitandaoni usfikiri watu wanaona tu na kuacha kuna ambao wanaenda mbali kutaka kuharibu ili UKOSE JEURI
Tabia za Mbu zitakuchelewesha na hata utanikiwa basi itakuwa kwa KUVIZIA SANA kama Mbu afanyavyo USIKU WA MANANE