Mbozi ipewe kanda maalum ya kipolisi.

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
3,642
3,776
Nimuombe rais Samia kabla hajatoka mkoa wa Songwe, aitangaze mbozi kuwa kanda maalum.

Ndiyo najua mtashangaa, ila kwa matukio ya Mbozi inahitaji jicho la karibu la kiusalama. Vinginevyo mauaji yatakithiri kama tupo ukanda wa Gaza.

Hii itasaidia pia kuhudumia hadi Tunduma.
Wakazi wa Mbozi wanahofu dhidi ya usalama wa maisha yao. RPC achukue hatua kabla ya maelekezo kutoka juu.
 
Moja ya sababu kuu ya kuunda mkoa Songwe ilikuwa issue ya usalama wa eneo husika kuwa mdogo. Sifa ya kuwa mkoa ilikuwa haina ila kwa angle ya kusogeza huduma za kiusalama ilikidhi vigezo. Na ndio maana ofisi nyingi za kiusalama zinajengwa na kuhamishiwa Mbimba eneo ambalo ni makao makuu ya mkoa wa Songwe lililoko wilayani Mbozi. Wazo hili la kamati za usalama kupatikana Mbozi inadhihirisha wazi kuwa kuna kitu serikali iliona mbele.

Kiuhalisia huduma za kiusalama zimesogezwa wilaya ya Mbozi. Acha wamalizane na swala la kutimiza vigezo vya kuwa mkoa tusipandanishe mambo.
 
Umeiweka vizuri sana ndugu. Lakini pamoja na kuwa na hiyo hadhi ya mkoa, inaonekana bado wanashindwa kudhibiti matukio.
Comrade Chongolo inabidi aweke mipango thabiti juu usalama.
 
Waanze na kusogeza polisi kata maana sehemu nyingi raia wa Mbozi hawataki polisi vituo vya polisi vijengwe. Ukitoa mapendekezo ya kusogeza huduma ya kipolisi hadi wenyeviti wa kijiji wanagoma hawaungi mkono. Ukiona hali hiyo jua kuna jambo.
 
Duh nchi ngumu sana.
 
Back
Top Bottom