Dr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa muungwana mno kwao sasa wanakuona mjinga. Waache wapambane na hali zao!