Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,333
- 44,286
Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mbowe amekerwa na kitendo cha baadhi ya makada huko Tanga kutaka kuzuia mkutano usifanyike katika uwanja uliopangwa.
Ktk video clip hii hapa chini inaonesha Mh Mbowe akiwatolea uvivu baadhi ya viongozi wanaodhaniwa kuwa wa serikali wanaotumia Jeshi la Polisi vibaya ktk kuzuia mikutano na kugombani uwanja.
Mh Mbowe amewaambia Wananchi kuwa Jeshi la polisi lina kazi nyingi za msingi kulinda Usalama wa Raia, uharifu na magendo na hivyo kuwataka viongozi wa serikali wawache wafanya kazi zao za msingi za kuwaletea maendeleo wananchi
Mh Mbowe ameonekana akiwachana Live baadhi ya Wanaccm na kuwakejeli kuwa hata hivyo wanajisumbua tu kwa kuvaa sale za chama cha mapinduzi wakati hata hawafahamiki na chama hakiwajali na kuita kuwa Ccm ina wenyewe.
View: https://youtu.be/0a6_J3ZEdWE?si=ixlUYzcwUzWqCGJS