Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 10,505
- 30,414
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua amesema Lissu hana cha kumtisha.
Anasema Lissu ni kuongozi mwenzake na wamepitia mengi, hawawezi kugombana, lakini inapotokea fahafali wawili wanasimama kura itaamua ubishi.
Mbowe amesema hayo alipokuwa akijibu swali aliloulizwa na mwandishi kama anamuogopa Lissu
Amesema pia kutokana na katiba ya CHADEMA yeye ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya chama hicho.