Mbowe, ni wakati sasa wa kumpa Sugu Uenyekiti wa CHADEMA pamoja na (KUB)

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
50,099
39,556
Wanaukumbi.

Leo bungeni Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema kuwa yeye ndiyo mbunge pekee aliyepata kura nyingi jimboni kwake ameenda mbali zaidi na kusema angetakiwa kuwa Waziri Mkuu.

Kama kupata kura nyingi ndiyo kigezo cha kuwa kiongozi basi hayo yangeanzia ndani ya chama chake Chadema wampe uongozi wa chama kabla ya kutamani kuwa Waziri Mkuu kitu ambacho akiwezekani kwa kuwa Chadema hawakushinda kwenye uchaguzi mkuu..

Maneno ya Sugu ni ya msingi siyo ya kuyapuuza ni wakati sasa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kumpisha Sugu kwenye nafasi ya Uenyekiti pamoja na kumpa uongozi wa kuwa Mkuu kambi ya upinzani Bungeni.
 
Kweli mkuu. Na akishakuwa KUB wabunge wa upinzani wamtumie kama role model wao, itapendeza
 

Akinyanyua huo mdomo chamani ndio arobaini yake itatimia jamaa katika madaraka hawanaga utani kabisa.
 
Sawa ushauri umefika, vipi mmejipangaje na uchaguzi wa zenji
Naona Mohamed Said leo kawageuka anawatetea CUF
 
Excuse me! Ivi what level of Education has he kwanza? By the way tunakoelekea next electns watatakikana wagombea wenye atleast degree 1 up to masters! Am sick and tired of Bartenders/madalalis/Djs/school drop outs kuwa Member of Parliaments! Inafika wakati Watanzania wataelea umuimu wa kuwa na Wabunge wasomi wenye Masters na Degrees! And not by the way Mps we have todate!
a good example is PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI kuchagua Mawaziri almost all of them with Masters and Phds! ELIMU matters Alot kwenye uongozi wa nchi yeyote Duniani!
 
Wa
wabunge wasomi akina Tibaijuka, kapuya, mbilinyi, Msabaha,ngereja, chenge nk , ni wezi na Mafisadi nani kakuambia kuwa Mbunge msomi ni msaada kwa wananchi? Wengi wamesomea Ufisadi hawana uchungu na pesa za walipa kodi, wasomi wa Tanzania ni shiiiiiiiida, wenyewe ccm wakiwa na Hoja bungeni hawawatumii wasomi bali huwatumia akina livistone kibajaji, Nape, kesi na wenzao waliofeli mitihani wa form six kwa kupata zero.
 
Ha ha Ritz wewe bila kutukanwa huwa hujisikii! We jamaa bana
 
Ndg yangu Sugu usithubutu kusema maneno kama hayo hawa ndg zetu wa mapepo ya kaskazini huwa hawana huruma kabisa yaani wao kukuondoa/ kukupoteza wala hawajali!!
Rest in Peace Chacha Zakayo Wangwe
 
Mbowe alipata nini form six ihungo?lofa wewe
 
Akili au uwezo wa mtu kufikiri haupimwi kwenye degrees tu,kuna watu wengi ni incompetent lkn wana hizo degrees. Lakini pia wapo wengine very competent lkn hawana hizo degrees. Fuatilia historia ya Nehemiah Mchechu na mafaniko yake pale NHC kisha ulinganishe na yale mashirika yanayoongozwa na wasomi wengine(Posta na simu,nk.)People are born genius, we are going to school just to polish our brains, not to learn to be genius.
 

Mbowe Kachaguliwa kwa Kura, Mwambienini aliyelea ugoro TRA, Bandarini, na Aibu ya Muhimbii ampe Uwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwanza Kisha uje useme kuhusu Mbowe.
 
Miaka 10 ya uongozi wa Mbowe ilimalizika mwaka 2014, lakini kwa sababu ambazo chadema wanazifahamu wao wenyewe mpaka sasa bado yupo madarakani. Neno demokrasia kati yale maneno yanayotengeneza CHADEMA limesalitiwa. Ingawa binafsi namuona Mbowe kama ni kiongozi mwenye maono kumzidi Sugu. Huyo mbunge wa Mbeya mjini hana ile sifa ya asili ya kuwa kiongozi mkuu wa Chama, ana jazba pia anakosa hekima ya uongozi ambayo huambatana na umri wa mtu. Ni kweli CHADEMA wanahitaji kuitendea haki maana ya neno demokrasia, lakini mrithi wa Mbowe ni lazima awe na viwango vya uelewa alivyonavyo Mbowe na ikiwezekana awe zaidi yake. Profesa Baregu na Profesa Safari ni watu wenye elimu, maarifa, ujanja wa kiasiasa na busara nyingi za uongozi, ambazo zinaweza kuijenga CHADEMA, na kuendeleza pale alipofikia Freeman Mbowe.
 
You nail it Mkuu, watakuelewa hawa wazee wa kuzungusha viganja! subiri tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…