johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,225
- 168,794
Kama nilivyowahi kusema Freeman Mbowe Ndiye Mwenyekiti wa chama cha upinzani mwenye mafanikio zaidi hapa nchini
Lakini pamoja na mafanikio hayo mh Mbowe alijikwaa kwenye maeneo matatu kama Kiongozi na alikuwa mbinafsi zaidi
Mosi, kumtosa Dr Slaa Kienyeji na kumleta Mzee Lowassa RIP kugombea uRais
Pili, kutoiongoza Kamati Kuu na Baraza la Wadhamini kuwashtaki NEC baada ya Katibu mkuu mh Mnyika kuikana sahihi inayodaiwa kuwa yake kwenye Fomu ya Wabunge wa viti Maalum Halima Mdee na wenzake
Kuingia kwenye Maridhiano kibinafsi zaidi bila Baraka za awali za CC na kuyafanya majadiliano Yale kuwa Siri
Yote kwa yote Hakunaga mwanadamu aliyekamilika
Nawatakieni Juma Takatifu Lenye Baraka 😄😄