Deo Meck Mbagi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 360
- 525
Hawaaminiani, majanga matupuAnahakikisha anapandikiza watiifu sababu Lowasa naye ana wajumbe wake.Kampandikiza Msigwa,Wenje nk imesababisha viongozi kwenye baadhi ya wilaya kubwaga manyanga
Wanawake zimebaki nafasi zenu badala mjitokeze kimbelembele muonekane kwa mambo ya msingi nyie mnahangaika na bk 7. huku amemchagua Anna Kilango tena
Anawaona vikatuniHawa vicheche wa buku7 wanajikosesha wenyewe kuteuliwa kwa mada zao za kishambenga hata mkulu anawadharau sana.
KWANI WEWE HUFAHAMU CHADEMA NI KAMPUNI BINAFSI YA JAMAA ?Mbowe kweli one man show kama kaka mkubwa. Maana naona ndio Mwenyekiti wa Chama na chief signatory wa account zote za chama.
Ila zaidi yeye ndie Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ndani ya chama, yaani chaguzi zote za anazisimamia yeye. Hii maana yake ni nini? Kazi ya Kurugenzi ya Kampeni na Uchaguzi ni nini? Huyo mkurugenzi na afisa wa uchaguzi kazi zao ni zipi? Wanalipwa ili kufanya nini?
Katika moja ya sifa ya kiongozi bora ni delegation of power/duties. Pia kujenga institutional capacity, sio kila kitu wewe, kazi ya Katibu Mkuu kama mtendaji ni zipi hadi majukumu yake ya kiutendaji yachukuliwe na Mwenyekiti?
Je kuna Siri ya kuamua kusimamia show zote mwenyewe? Ni Siri gani?
Uzoefu unaonyesha wanasheria ndio hupewa majukumu kusimamia chaguzi sehemu mbalimbali duniani, wamekosa wanasheria wa kusimamia chaguzi zao? Kuna wanasheria wazoefu kina Prof. Safari, wazee wasomi kina Prof. Baregu. Hawaaminiki kusaidia majukumu hayo hadi yote yafanywe na mtu mmoja? Something must be wrong somewhere. Time will tell.
Wanaliana timing!! Naona muda si mrefu mmoja ataenguka tu!!Anahakikisha anapandikiza watiifu sababu Lowasa naye ana wajumbe wake.Kampandikiza Msigwa,Wenje nk imesababisha viongozi kwenye baadhi ya wilaya kubwaga manyanga
Huwezi kuelewa maana akili yako imekodishwa, kasome traits of a good leader. Matusi yanadhihirisha uwezo wako wa kufikiri.Wanawake zimebaki nafasi zenu badala mjitokeze kimbelembele muonekane kwa mambo ya msingi nyie mnahangaika na bk 7. huku amemchagua Anna Kilango tena
Asiyejuwa kuwa chadema ni kampuni binafsi ni punguani tu.
kweli kabisa, time bomb, ngoja tuone uzima tuone episode zinazokujaWanaliana timing!! Naona muda si mrefu mmoja ataenguka tu!!
Zile za Mwangosi?Mama anayekula rambirambi tumuiteje?
Katika fikra zako zoteeeee, hujaona logic zaidi ya kuiona CCM? Kwa hiyo kila mwenye hoja kinzani na zenu CCM.CCM mna hasira nyingi sana na Mbowe
Zile za Mwangosi?