Mbowe mdogo afunguka - Chadema kimebeba 'future' ya Watanzania

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
645
2,979
20240612_123953.jpg

"Hiki chama kimebeba 'future' na Watanzania wamekiamini kwamba ndiyo chama pekee ambacho kinaweza kui-transform nchi kwa sasa," - JamesMbowe mwanachama wa Chadema ambaye mpaka sasa haijulikani ana cheo gani kwenye chama japo duru zinasema anaandaliwa kurithi mikoba ya mwenyekiti.
 
View attachment 3015304

"JamesMbowe mwanachama wa Chadema ambaye mpaka sasa haijulikani ana cheo gani kwenye chama japo duru zinasema anaandaliwa kurithi mikoba ya mwenyekiti", hiki ndicho kilichokusukuma uweke Post.
Viongozi wote CCM wanazo fotokopi kwenye chama lakini wanapongezwa kwa hilo.
 
View attachment 3015304
"Hiki chama kimebeba 'future' na Watanzania wamekiamini kwamba ndiyo chama pekee ambacho kinaweza kui-transform nchi kwa sasa," - JamesMbowe mwanachama wa Chadema ambaye mpaka sasa haijulikani ana cheo gani kwenye chama japo duru zinasema anaandaliwa kurithi mikoba ya mwenyekiti.
Kimsingi ndio maana mwenyekiti alilazimisha huyu kijana kufunga ndoa mwaka huu ili atakapomkabidhi chama asionekane ni mhuni kakabidhiwa chama.Kama mnavyokumbuka hata Mzee Mbowe alikabidhiwa chama akiwa ana familia .Na kama sikosei mtoto aliezaliwa baada ya mzee Mbowe kukabidhiwa chama anayo miaka zaidi ya thelathini.🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
View attachment 3015304
"Hiki chama kimebeba 'future' na Watanzania wamekiamini kwamba ndiyo chama pekee ambacho kinaweza kui-transform nchi kwa sasa," - JamesMbowe mwanachama wa Chadema ambaye mpaka sasa haijulikani ana cheo gani kwenye chama japo duru zinasema anaandaliwa kurithi mikoba ya mwenyekiti.
Hii habari Iko kishambenga zaidi.
 
Back
Top Bottom