Museveni amewahi ulizwa mbona umekaa sana madarakani unatakiwa kuondoka sasa upishe damu mpyaHii ni dhahiri Mbowe hana mpango wa kuachia madaraka hivi karibuni. Amesema Majenerali hawaondoki katikati ya vita mpaka wanafia vitani. Pia Amesema upinzani hakuna watu wa kujitolea wala maono ya kuendeleza mapambano! Hii maana yake ni kuwa hata uchaguzi unapofanyika ni njia ya kuzuga tu kwa kuwa viongozi rasmi wa chama wapo tayari.
Kwa hiyo bado yupo hadi kifo!
Hakika,kama mbowe ataendelea hakuna cha maana tena kwenye chademaKwa ufupi chadema ife tu. Tusubiliage siku watu wengine makini waibuke na hoja sahihi ya kuichallenge CCM kwa kishindo.
Si alifeli shuleni huyu..? Naanza kuwaelewa kwanini anang'ang'ania. Hata musa hakiona kanani so atulize komweHii ni dhahiri Mbowe hana mpango wa kuachia madaraka hivi karibuni. Amesema Majenerali hawaondoki katikati ya vita mpaka wanafia vitani. Pia Amesema upinzani hakuna watu wa kujitolea wala maono ya kuendeleza mapambano! Hii maana yake ni kuwa hata uchaguzi unapofanyika ni njia ya kuzuga tu kwa kuwa viongozi rasmi wa chama wapo tayari.
Kwa hiyo bado yupo hadi kifo!
Nani alikufungulia hii account ya JF? maana Kwa hiki ulichoandika sina shaka kabisa na uwezo wako wa kufikiriMuseveni amewahi ulizwa mbona umekaa sana madarakani unatakiwa kuondoka sasa upishe damu mpya
Akajibu kuwa amepigana vita msituni kwa zaidi ya muaka 30 akilala porini hakuna mwandishi wa habari au yeyote akiwahi mtaka atoke msituni apishe wengine
Kagame,Museveni na Mbowe ruksa kuendelea kuongoza vyama vyao na serikali
Mbowe nakuapisha kwa jina la Yesu usischie Chadema kwa wahamiaji akina Lisu waliokutq chama tayari kimeshajijenga wanakuja tu kula mema ya nchi ,posho na ruzuku
Nawasihi wajumbe cheo cha mwenyekiti msikabidhi wahamiaji wawindq fursa akiwemo Lisu na genge lake
Uenyekiti ubaki kwa akina Museveni, Kagame na Mbowe hadi wenyewe tu waamue kuacha wakabidhi wamtakaye
They have suffered a lot ndio maana hujitoa sana kifedha nk kuhakikisha chama kinaenda na nchi zao zinaenda tofauti na akina Lisu waja tu kufaidi pesa za chama wakati kuchangia chama wako zero
Nasena Mbowe mitano teno huyo mbelgiji aende zake huko
Matango pori umelishwaSi alifeli shuleni huyu..? Naanza kuwaelewa kwanini anang'ang'ania. Hata musa hakiona kanani so atulize komwe
Ni jenerali mpumbavu tu anaweza kuondoka katikati ya vitaHii ni dhahiri Mbowe hana mpango wa kuachia madaraka hivi karibuni. Amesema Majenerali hawaondoki katikati ya vita mpaka wanafia vitani. Pia Amesema upinzani hakuna watu wa kujitolea wala maono ya kuendeleza mapambano! Hii maana yake ni kuwa hata uchaguzi unapofanyika ni njia ya kuzuga tu kwa kuwa viongozi rasmi wa chama wapo tayari.
Kwa hiyo bado yupo hadi kifo!
Sawa mboweMatango pori umelishwa