Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,510
- 13,658
Hii ni dhahiri Mbowe hana mpango wa kuachia madaraka hivi karibuni. Amesema Majenerali hawaondoki katikati ya vita mpaka wanafia vitani. Pia Amesema upinzani hakuna watu wa kujitolea wala maono ya kuendeleza mapambano! Hii maana yake ni kuwa hata uchaguzi unapofanyika ni njia ya kuzuga tu kwa kuwa viongozi rasmi wa chama wapo tayari.
Kwa hiyo bado yupo hadi kifo!
Kwa hiyo bado yupo hadi kifo!