Mbowe kuanza kumchafua Lissu ni dalili ya kuzidiwa au kuweweseka?

Ukisikiliza mazungumzo ya Mbowe ni dhahiri ameanza kumchafua Lisu hiyo ni dalili ya kushindwa.
Lisu yeye anajenga hoja
Mbowe hakuna alikomchafua lisu tena alikwepa sana kuongea mengi yanayomhusu.

Lissu ndo anaropoka kumchafua Mbowe akisaidiana na wajinga kama wewe walio mitandaoni
 
Ukisikiliza mazungumzo ya Mbowe ni dhahiri ameanza kumchafua Lisu hiyo ni dalili ya kushindwa.
Lisu yeye anajenga hoja
we ni mchonganishi mbowe anabusara hawezi kufanya hicho kitu huyo jama yenu ndiyo hana hoja anamchafua mbowe
 
Mbowe hakuna alikomchafua lisu tena alikwepa sana kuongea mengi yanayomhusu.
Lisu ndo anaropoka kumchafua Mbowe akisaidiana na wajinga kama wewe walio mitandaoni
Lumumba fc.....Wapi Lissi kamchafua? Mtu akikuita We Fisadi na ukawa hujibu utakuwa umetukanwa.?
 
Ccm wahuni kweli wanafanya huu uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema uwe na pande mbili. Halafu Chadema ife wao waendelee kutawala🤣

Mbowe mpishe Lissu wewe kuwa mzee wa ushauri tu mbona mwenzio Dr Slaa aliweza.
 
Back
Top Bottom