Mbowe, kama ubia ni kuuza waondoe Protea Hotel kwenye uendelezaji, uboreshaji, na uendeshaji wa hotel yenu ya Aishi Machame

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
9,019
6,828
Protea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato.

Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa kuyatumia makampuni yenye majina kuendeha biashara kuna tija na kunaongeza mapato.

Kwa haiba yake ya upinzani najua asingependa serikali iogeze ufanisi wa bandari kwa kumtumia DP World ili isipate mapato mengi ambayo yataboresha utekelezaji wa ilani na mipango ya CCM na serikali yake.

ABOUT PROTEA HOTELS
Protea Hotels is a South African hotel and leisure company headquartered in Cape Town, South Africa. As of December 31, 2018, it was the largest hotel company on the African continent, with 80 properties in ten countries with 8,497 rooms in addition to 14 hotels with 2,498 rooms in the pipeline. The company was named for the flowering plant Protea, which is unique to South Africa, and its logo features a representation of the flower.
 
Sasa Hotel binafsi za Mbowe zinatuhusu nini sisi watanzania?

Nani kasema Mbowe anapinga uwekezaji wa Bandari?

Sote tunapinga bandari zetu kumilikishwa milele muarabu wa Dubai. Mkataba wa DP world ni uhuni na wizi mtupu, hakuna uwekezaji pale.
 
UNA MAONO MAFUPI SANA
 
....mkataba wa Protea na hii hotel ya FAM uweke hapa na kisha weka tutaweka hapa mkataba/makubaliano ya DW World yaliyoridhiwa na bunge. Kisha tunaangalia upande wa faida ( kwa namba) kwa mikataba yote miwili.

Japokuwa uendeshaji haufanani (hotel na bandari) lakini kwa kuwa umetumia mfanano huo basi tuanzie hapo.
NB. Hakuna anayepinga uwekezaji au mkataba wa uendeshaji, kinachogomba hapa ni pale wengi wanapogundua nani anafaidika na nani analaliwa
 
Sasa Hotel binafsi za Mbowe zinatuhusu nini sisi watanzania?
Nani kasema Mbowe anapinga uwekezaji wa Bandari?

Sote tunapinga bandari zetu kumilikishwa milele muarabu wa Dubai. Mkataba wa DP world ni uhuni na wizi mtupu, hakuna uwekezaji pale.
Huyu kapewa 10 yake hapo kutetea kwenye social media lakini hata mkabata hajui unafananaje
 
Huyu kapewa 10 yake hapo kutetea kwenye social media lakini hata mkabata hajui unafananaje
....ni mtu anayefuatilia sana mkataba huu tena kwa kwa ukaribu sana, hivyo anaujua sema labda tukirejea hapo kwenye hoja yako ya kupewa 10 ndiyo kumempofusha. Vinginevyo comte ana hoja na anakaribisha majadiliano kwenye kila uzi wake.
 
Ameusoma na ameulewa?
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Mmeshindwa hoja mmehamia sasa kwenye private properties?

Yaani uendeshaji wa mali ya nchi mnalinganisha na mali binafsi?

With this kind of myopic thinking where are we heading as a nation?
 
We ni mjinga sn, hakuna mtu anakataa uwekezaji kinacholeta shida ni terms za mkataba, hata leo wakirekebisha mwarabu anapewa, serikali inashitakiwa kila leo na kushindwa kesi nje. Mbowe wapi ameshindwa kesi kwa kukodisha hoteli zake?
1690904578434.png

CHADEMA bila Lowassa ilionekana au ni chama kisichopenda wafanyabishara wala uwekezaji- haya yalisema mwaka 2015 na ni sahihi hadi leo hii
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Back
Top Bottom