okkk unasema bado anahitajika upinzani ili
1) aendelee kuleta mafisadi na kuyasafisha
2) ili apate dili la kupata mchongo wa pesa
3) aendelee kujistawisha yeye mwenyewe kwa kutumia migongo ya masikini hawa watanzania. kwa sababu katika hali ya kawaida haiwezekani ujio wa kundi la mafisadi ukafanya viongozi waliotukuka kama Dr Slaa wakatimka. Mbowe na group lake dhambi hii ni lazima waibebe wao kwa mikono yao. haitasahaulika