Mbowe hapedwi na CCM kwasababu ni CEO mzuri

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
7,575
10,496
Tuache unafiki Mbowe hapedwi na watu wa CCM kwasababu moja tu anajua kuongoza, street smart, haongeki, ana heshimika na anajua kuongoza. Kuna wanasiasa wengi sana ni wazuri wa kuongea tu lakini huwezi kuwapa hata mradi wa kuku.
 
Ngoja tuone
 
Amiri ninachokuambia Mbowe, Mzee Mtei na hayati Bob Makani wote kutoka Benki Kuu ya Tanzania hawajawahi kuhama CCM 🐼
Kuwa mwanachama ni kuwa na kadi mfu ya uanachama au kuwa mwanachama hai wa chama husika? Kama Mbowe ni CCM tuletee ushahidi kuwa 2023 au 2024 alilipia kadi yake ya CCM?
 
Mleta mada ww nadhan utakuwa ulikuwa Bar ushalewa...haongeki hao 19 walioko Bungeni kama viti maalumu nani aliongwa ili waingie.
Aliyehongwa ni aliyewapokea. Maana Chadema walisema wamewafukuza akiwemo na Mbowe. Anatajwaje kuwa alihongwa? Au mm ndo sijaelewa
 
Back
Top Bottom