Mbowe avurugwa, Zitto Kabwe asema MTU pekee anayeweza kuelezea kufukuzwa kwake Chadema ni John Heche Kwa sababu ndiye aliyemtetea Mwanzo - Mwisho!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
97,869
171,690
Aliyekuwa Naibu katibu mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe amesema MTU pekee mwenye credibility ya kuizungumzia kufukuzwa kwake Chadema ni Mh John Heche Kwa sababu ndiye mjumbe wa CC aliyesimama kidete kumtetea

Zitto Kabwe ameongea Ukurasani kwake X

Ahsanteni 🐼😂🔥
 
Kha..shashooo mekuu!
 
ZItto ali point out kwamba wa kwanza kutekeleza maamuzi baada tu yeye kushindwa kesi alikuwa Lissu.
 
Wote waliohusika Zitto kufukuzwa walifanya kazi nzuri sana. Zitto angekuwa mwenyekiti CHADEMA isingekuwa hapa ilipo. Mbowe ana makandokando yake ila kwenye suala la Zitto alikuwa sahihi.
 
Kwani waliomfukuza nao hawawezi kuongelea ? Ni waliomtetea pekee ?

Labda tuseme mtu pekee mwenye credibility ya kufanya wanachofanya sasa ni Heche sababu alikubali Zitto alichofanya kilikuwa sawa na sio hawa ambao walimuita msaliti ila arguably wanafanya kile kile (What's good for the Goose seems not to be good for the Gander)
 
ZItto ali point out kwamba wa kwanza kutekeleza maamuzi baada tu yeye kushindwa kesi alikuwa Lissu.
Walikuwa sahihi kabisa kumfukuza Zitto. Siyo wote walioondoka Chadema Mbowe ndiye chanzo. Tangu ameanzisha hiki chama chake mbona hakiendi popote na amebaki kuwa chawa wa Samia tu? Hivi kama CUF isingemeguka chama cahke kingekuwa kwenye hali gani?
 
Ulitaka agome kutekeleza maamuzi ya kamati kuu?
Kosa la zito lilikuwa kugombea nafasi ya sultani Mbowe anayedhani uenyekiti ni mali yake na ukoo wake
 
Hata chadema ilinufaika kwa kumeguka nccr, ndipo ikawapata hawa kina Lissu, Mabere, Komu...

Mbowe akitoka chadema hawezi anzisha chama cha kufikia hadhi ya ACT.
 
Kamuulize Zitto kwa nini kasema hivyo, na kwa nini hakutajà mtu mwingine zaidi ya Lissu na Lema.
 
ZItto ali point out kwamba wa kwanza kutekeleza maamuzi baada tu yeye kushindwa kesi alikuwa Lissu.
Wanamtaka Lisu ACT wazalendo wakivizia kuwa labda atahama na Chadema wengi

Lakini lisu alifanya figisu sana kwa Zitto lakini pia kuna kigingi kingine kwa Lisu kiko jwa wazanzibari hawasahau kabisa hao akina Lisu walichomfanyia Duni Haji akiwa Chadema

Wazanzibari moto utawaka kikaoni hoja ya kumpokea Lisu ikienda mezani kwao

Lisu ajue kabisa hata kama bara Act wazalendo wanamtaka ajue kuna Zanzibar ya akina duni Haji ambayo hata Zitto kabwe hana nguvu nayo kabisa hata alipokuwa mkuu wa chama

Lisu kuchezea Chadema future yake kisiasa ndio inaenda ukingoni hivyo na ujuaji wake na kutoambilika kwake

Tarehe 21 ni siku yake ya uzinduzi wa poromoko lake kisiasa kwenye sanduku la kura labda ahamie CCM waweza mpa hata ujaji
 
Aliyekuwa Naibu katibu mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe amesema MTU pekee mwenye credibility ya kuizungumzia kufukuzwa kwake Chadema ni Mh John Heche Kwa sababu ndiye mjumbe wa CC aliyesimama kidete kumtetea

Zitto Kabwe ameongea Ukurasani kwake X

Ahsanteni 🐼😂🔥
Chaumbea katika ubora wako
 
Hata chadema ilinufaika kwa kumeguka nccr, ndipo ikawapata hawa kina Lissu, Mabere, Komu...

Mbowe akitoka chadema hawezi anzisha chama cha kufikia hadhi ya ACT.
Mbowe na Lissu baada ya uchaguzi watakuwa kitu kimoja,haondoki mtu hapo.
 
Back
Top Bottom