08 May 2024
MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''....
Freeman Mbowe amejikita katika chaguzi 6 zilizopita na mafunzo yake halisi ya juu kilichotokea katika miaka 30 ya vyama vingi vya siasa kulikopelekea kuiba uchaguzi na hatimaye kuteka uchaguzi mzima 2019 / 2020 na sasa wanataka tuiamini hii Tume ya Uchaguzi ... hiki kiburi cha CCM kukataa katiba mpya ni mfano hai wa hila za chama kongwe dola CCM ....
TOKA MAKTABA:
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS 2020 HAYAPO KATIKA GAZETI LA SERIKALI KWA SABABU UCHAGUZI MZIMA ULIVURUGWA?
Kutokana na uchaguzi wa 2020 kuporwa, wameshindwa kuoanisha matokeo ya urais ili yatangazwe katika gazeti la serikali (gazetted). Watu wangestuka na kuona tofauti kubwa ya jumla ya kura za wabunge wote na zile za urais.
Maana kama wangekusanya matokeo ya urais kutoka kila jimbo na kuyajumuisha ni aibu tupu, jumla ya kura ya urais ingetofautiana sana kwa umbali mkubwa na jumla ya kura za walizopata wabunge wote.
N.B
More info :
UCHAGUZI MKUU WA 2020
Aidha, siku ya kupiga kura jumla ya wapiga kura 15,091,950 sawa na asilimia 50.72 walijitokeza kupiga kura kati ya wapiga kura 29,754,699 walioandikishwa. Kura halali zilikuwa 14,830,195 sawa na asilimia 98.27 ya kura zote zilizopigwa na kura zilizokataliwa
zilikuwa 261,755 sawa na asilimia 1.73 ya kura zote zilizopigwa.
Mheshimiwa Rais,
Kwa ujumla, Tume iliendesha uchaguzi mkuu katika hali ya amani na utulivu. Mafanikio
hayo yalitokana na maandalizi yaliyofanywa kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu.
Tume pia ilipata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa wadau mbalimbali wa uchaguzi.
Mheshimiwa Rais,
Baada ya uchaguzi mkuu kukamilika, Tume imeandaa taarifa inayoelezea namna mchakato wa uchaguzi ulivyofanyika.
Kwa heshima na taadhima, Tume inaomba kuwasilisha kwako Taarifa ya Uchaguzi wa
Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2020.
xv
…………………………………………
Jaji Rufaa (Mst.) Semistocles S. Kaijage
Mwenyekiti
…………………………..………….
Jaji (Mst.) Mary H. C. S. Longway
Mjumbe
........................................
Asina A. Omari
Mjumbe
…………………………..………….
Jaji (Mst.) Thomas B. Mihayo
Mjumbe
…………………………..………….
Dkt. Wilson Mahera Charles
Mkurugenzi wa Uchaguzi
View: https://m.youtube.com/watch?v=e3Grxxco7hQ
Hivyo ni muhimu uchaguzi wa rais kuhojiwa mahakama kuu, na kuwepo takwa la lazima kuoanisha kura za ujumla za wabunge na urais ili uoanishi huu kuwa njia (tool) mojawapo ya kuibana Tume Huru ya Uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi kufanya kazi yao sawa sawa.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi
https://www.nec.go.tz › publications
Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
Matokeo ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa mwaka 2020 Pakua · Wabunge Wanawake Walioteuliwa Viti Maalum Uchaguzi Mkuu ....
Tume ya Taifa ya Uchaguzi
https://www.nec.go.tz › 1630...PDF
TAARIFA YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ...
View attachment 2866109
Haki zote zimehifadhiwa, hairuhusiwi kuiga, kunakili au kutoa kitabu hiki kwa njia
TOKA MAKTABA :
17 April 2024
JUKWAA LA SAUTI YA WATANZANIA, MJADALA MPANA KUHUSU SHERIA ZA UCHAGUZI
LIVE : TUNDU LISSU ANAONGEA KUHUSU SHERIA ZA UCHAGUZI, TEUZI ZA,WAJUMBE WA TUME HURU YA UCHAGUZI N.K NA JINSI RAIS ALIVYO NA MAMLAKA YA KUTEGUA
Sheria mpya za uchaguzi ya Tume Huru ya Uchaguzi athari zake kwa uchaguzi mkuu 2025 na ule wa serikali za mitaa pia vijiji mheshimiwa Tundu Lissu anaongezea kwa kina mazungumzo yake ya awali aliyofanya wiki iliyopita ktk kituo cha radio cha Clouds FM.
Leo mheshimiwa Tundu Lissu anajikita kwa kina zaidi kuhusu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi jina lake tu lina mushkeli mkubwa na inakinzana na Katiba hivyo ni batili .......
katiba ambayo ni sheria mama haitambui Tume Huru ya Taifa Uchaguzi inapingana na jina la Tume ya Uchaguzi hilo ni la kwanza ... hivyo msidanganywe
Jina la Tume ya Uchaguzi ilianza kutumika 1961 (tanganyika constitution order in Council 1961) kufuatia amri ya Malkia au Mfalme wa Uingereza kupitia Privy Council ....
Katiba ya Jamhuri 1962 ikalirithi jina Tume ya Uchaguzi na mwaka 1965 Katiba ya Mpito ya Jamhuri ya Muungano mwaka 1965 na iliendelea hadi 1977 Tume ya Uchaguzi na hadi leo 2024 jina halijabadilika ......
Tundu Lissu anageukia sasa kuchambua ..... Tume Ya Uchaguzi na kinga ya kushitakiwa ni kuwa ..... haitafuata maelekezo au amri ya mtu yeyote. Tume ya Warioba olisema hiyo siyo kweli kwa Tume ya Uchaguzi ni ya Rais na inateuliwa na kutenguliwa na Rais hivyo Tume ya Uchaguzi hupokea amri na maelekezo kutoka kwa mwenye Tume ya Uchaguzi ambaye ni Rais ... juzuu ya Tume ya Warioba imesisitiza hivyo Tume ya Uchaguzi haina uhuru katika uwajibikaji ...
Uundwaji wa majimbo ya uchaguzi Tanzania ni tofauti na nchi zingine, maana Tanzania majimbo yanaibuliwa huku kukiwa na nia ya kushinda uchaguzi ..... na mwenye maamuzi ya mwisho kuhusu mipaka na majimbo mapya yapo chini ya rais
Rais ndiye anayeitengeneza Tume ya Uchaguzi na kuondoa wajumbe wa Tume. Rais ndiyo anaye toa na kutwaa haya madaraka ni absolute power hivyo Tume hii ni ya Rais pekee...