Mbona Telegram haifunguki?

650

Member
Jun 6, 2024
77
206
Wakuu habar za muda huu?

Screenshot_20240830-213235.png

Leo kila nikijaribu kufungua telegram inafunguka lakini inaandika connecting halafu haifunguki.

Je, kuna mtu nae kwake inazingua kama hivi?

Ningependa kujua
 
Tumia VPN mkuu n wiki sasaa wako block, yaani now cc wazee wakupata utamu wa ku regust tunawakosa wale pic maana inaonekana wengine VPN bd hawajaisanukia
 
Wale ambao mlipitwa na fursa ya telegram airdrop $Dogs msije mkaanza kulia ikiwapita na hii...TGE and listing ni dept 26.

Kama telegram yako bado inasumbua ingia apps store/play store kisha search VPN inaitwa "Psiphon pron". Download kisha active kwa "start button" kazi imeisha.

Join hamster kombat kwa link hii uclaim tokens zako.

Au sio unatafuta referrals
 
Back
Top Bottom