LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 16,656
- 31,346
Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao)
Pia inaweza kuwa kazi ya mizimu na miungu wa watu ambao amewaumiza hapo kilingeni kwake mfano kwa kuwa mislead kuwaambia wasitumie dawa na mwisho wa siku wakaishia kupoteza maisha etc.
Soma: Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio
So kifupi ni kwamba kiboko ya Wachawi amechanganyikiwa.
Ukifahamu kuhusu kinaitwa kinaitwa "the Logic of Criminals" utagundua kwamba Hakunaga muhalifu mwenye akili zake timamu ambae anaweza kubehave kama kiboko ya Wachawi kuwa kebehi wahanga wake namna hiyo.
Kiboko ya Wachawi amekuwa kichaa kabisa period.
Kama mnataka kumkamata basi lengo liwe ni kumpeleka hospitali ya Milembe.
Ova