Mbona kama sielewi wakuu?

4.5 M ni pesa ya kawaida sana. Usiwaze mambo makubwa. Biashara zitakazokutoa zaidi kwa pesa hiyo ni zile ambazo wewe mwenyewe utashiriki moja kwa moja e.g ununue na uendeshe bodaboda, Ufanye biashara ya kuuza chakula, Udobi, Ununue underwear kwa jumla uuze rejareja, Biashara ya vinywaji hasa vinywaji baridi (soda, juisi, maji n.k) kama una sehemu iliyochangamka....n.k. nk.
KILA RAHELI
 
View attachment 3252923
Mimi ni Wakiume bado ni Mwanafunzi wa chuo flani hapa Dar es salaam lakini ni nimepata kapesa kadogo .Nipo na 4.5Million nifanye biashara gani ase maaana sitaki kapotee? 😭😭
Ningekushauri ununue tende nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi halafu uwe unauza mwezi wa Ramadhan utatoboa chap.
Halafu uwe unawaomba wateja mbegu ili upande mitende miiiiiiiiiiiiiingi halafu ukauze tende China maana kule hawajawahi kula tende kabisa.
 
Kwa kuwa una 4.5 milioni na unataka kufanya biashara ambayo haitakufanya upoteze pesa yako, ni muhimu kufanya uchambuzi wa kina na kuchagua biashara inayokufaa kulingana na maslahi yako, ujuzi wako, na soko la eneo lako.
 
Nishaona kumbe watanzania wengi mnamchango mdogo sana kwenye taifa letu.
Mimi nimepata 4.5M kutokana na biashara nilo ianzisha kwa 350k tarehe 1/12/2024 lakini nyie mnaona ni ndogo πŸ˜‚ sawa .
Na nipo chuo hapo na bado najisomesha na pia nipo na mdogo wangu yupo Mzumbe namsomesha .
Ipo hivi akili ya biashara ni bora kuliko mtaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…