Mbio za Mwenge kwa mwaka huu

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,168
779
Katika kuhakikisha serikali haitumii pesa za walipa kodi kwa mambo ambayo hayana tija, serikali ya JPM imechukua uamuzi mgumu kama vile kufuta sherehe za Uhuru jambo ambalo naamini hata CCM liliwaacha vinywa wazi. Ulikuwa ni uamuzi wa busara

Sasa kwa vile kumekuwa na maoni tofauti tofauti katika jamii kuhusu mbio za mwenge, Je kuna mtu ana fununu kuhusu uwepo wa mbio hizi mwaka huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…