Ni week ya tatu sasa kijana hanitoki kichwani jmn sielew Duuh natamani arudi au nimrudisheje nipeni connection za wataalam
Anyway nyiee mnatumia mbinu gani kumsahau mtu mlieachana ikiwa unampenda? Hatujazaa, hatujafanya maendeleo yoyot alikuwa mpenzi wa kawaida tu, ushauri jmn