Wezi wa dar huwa hawapigwi, wanabembelezwa sana km watoto wadogo. Dar kila kona ni wezi tu, upande kweny dala dala kuna wezi cha ajabu kuna sehemu wanaiba mchana kbsa. Dar unaishi maisha ya wasi was sana, iwe mchana au siku. Huwa nachoka, kuna vibaka sana,
MWANZA hata ukiiba karanga tu za 200 wanakuchoma moto.