Kuelekea 2025 Mbeya: Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanashikiliwa waanza kuachiwa bila masharti yoyote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Polisi wajuaji sana, kuwaambia viongozi wa Chadema wawatafutie wadhamini wale vijana walioshikiliwa vituoni, matokeo yake wakajibiwa hao hawana makosa endeleeni kuwashikilia tukutane kesho mahakamani.

Sasa polisi kwa kuwaachia bila wadhamini wamethibitisha wao ni watekaji rasmi, na wavunja sheria namba moja nchi hii wakishirikiana na viongozi wa CCM.
 
Hawana akili kabisa
 
Mimi niwashauri wale wote wanaoachiwa vituo vya polisi popote walipo wakitoka tu uelekeo wao iwe ni kwenda Mbeya na waliopo Mbeya wasiomdoke Mpaka wafuasi wenzao wote wiliopanga kuhudhuria kongamano wafike Mbeya ili wahesabiwe. Haya ni mapambano dhidi ya Dhulma ya jeshi la polisi Tanzania. Tusiposimama imara Taifa letu litaangamia.
 
Polisi wajuaji sana, kuwaambia viongozi wa Chadema wawatafutie wadhamini wale vijana walioshikiliwa vituoni, matokeo yake wakajibiwa hao hawana makosa endeleeni kuwashikilia tukutane kesho mahakamani.

Sasa polisi kwa kuwaachia bila wadhamini wamethibitisha wao ni watekaji rasmi, na wavunja sheria namba moja nchi hii wakishirikiana na viongozi wa CCM.
Wakishirikiana na tulia akson polisi wa nchi hii akili maandazi
 
Wasingewaachia....

Hawa vijana wenzetu wanataka kuiga wakenya kulitia moto taifa na kuipindua serikali halali....

#Kauli Za Mwaipaya
 
Serikali gani iliyopinduliwa? Au unaushi Neptune? Walichopinga vijana wa Kenya ni Sheria mbovu na haikusainiwa. Hawakuwataka mawaziri mafisadi. Walikosea wapi? Kwanini mnadanganywa na watu wanaokula keki ya taifa pekee yao halafu mnachukia wanaotetea raslimali za taifa? Au na wewe Umeshika pande la keki unamung'unya taratibu? Acheni hizo muwe na uchungu na vizazi vyenu vya miaka 100 ijayo!
 
Back
Top Bottom