The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 1,040
- 1,680
Mtoto Mchanga Anayekadiriwa Kuwa Na Umri Wa Miezi Mitano na Sita Amekutwa Ametupwa Kwenye Mtaro Wa Kupitisha Maji Katika Barabara Ya Veta Kata Ya Ilomba Jijini Mbeya.
Wakizungumza Kwa Masikitiko Makubwa Wananchi Wa Kata Hiyo Wamesema Wameumizwa, Na Kulaani Kitendo Hicho Kilichofanywa Na Mwanamke Ambaye Bado Hajafahamika, Na Kuwataka Wanawake Kuwa Na Moyo Wa Utu, Huku Wakitaka Kuwa Makini Na Wanaume Wanaokutana Nao.
Kwa Upande Wake Daktari Kutoka Ofisi Ya Mganga Mfawidhi Kituo Cha Afya Ilemi Jijini Mbeya John Mosoko, Amesema Kama Watalaamu Wa Afya Wamesikitishwa Na Kitendo Hicho Na Kuwataka Wananwake Wanapobeba Mimba Kuonana Na Watalaamu Wa Afya Kuliko Kujichukulia Maamuzi Ya Namna Hiyo.
Hata Hivyo Dkt John Amesema Tatizo La Utoaji Mimba Limeendelea Kushamiri Kwenye Jamii Mbali Mbali Nchini, Akisema Vitendo Hivyo Vinapaswa Kukemewa Kwani Ni Aibu Na Vinateketekeza Vizazi Vijavyo, Huku Akizomba Mamlaka Husika Kuwachukulia Hatua Kali Wahusika Wa Matukio Hayo.