pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 691
- 880
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera anatakiwa awe Mkoani kwake Mbeya. Lakini yeye miezi kadhaa yupo Mkoa wa Jirani huko Ruvuma akifanya mikakati ya Ubunge wa 2025
Hata wananchi walishamsahau wala hawajui kiongozi wao nani.
Sasa leo kajitokeza Mkuu wa Mkoa feki wa Mbeya na kuanza kusikikikiza kero za Wananchi huku RC Juma Homera akiwa Ruvuma kutafuta Ubunge