ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 69,078
- 77,385
πππππππππ Nimecheka kama Mazuri.
My Take
Hizi dini zenu ukiacha utapeli ni vichaka vya kufichia ulozi
----
Mwili wa Mchungaji Golden Ngumbuke (66) wa kanisa la Pentecoast Evangelical Fellowship Of Afrika PEFA aliyefariki dunia kwa kupigwa na wananchi akiwa nyumbani kwake wakimtuhumu kumroga hadi kufa jirani yake katekista wa kanisa katoliki, Fadhili Komba wa kigango cha Mwansekwa jimbo kuu katoliki la Mbeya na Mkazi wa mtaa Mwafute kata ya Ilemi Jijini Mbeya umezikwa katika makaburi ya familia kitongoji Cha Nyina Kijiji Cha Lupepa Kata Ya Swaya Wilaya Ya Mbeya Mkoani Mbeya.
Mazishi ya Mchungaji Ngumbuke yameongozwa na askofu wa kanisa la Pentecoast Evangelical Fellowship Of Afrika wilaya ya Mbeya Langson Chisunga ambaye amewataka waumini kuwa tayari wakati wote kwani kifo ni fumbo hakuna ajua siku wala saa ya kifo chake huku wachungaji waliofanya nao kazi walieleza nama walivyo mfahamu mchungaji Golden Ngumbuke.