The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 633
- 1,082
JESHI La Polisi Mkoa Wa Songwe Linaendelea Kuchunguza Kifo Cha Elvis Pemba ,20, Ambaye Ni Mkulima Na Mkazi Wa Maporomoko, Tunduma, Aliyeuawa Baada Ya Kushambuliwa Na Wananchi Waliomshutumu Kwa Wizi Wa Simu.
Akizungumza Na Waandishi Wa Habari, Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Songwe, Augustino Senga Amesema Tukio Hilo Lilitokea Februari 8, 2025, Ambapo Elvis Na Wenzake Walipora Simu Ya ‘Tecno Pop 2’ Yenye Thamani Sh 350,000 Mali Ya Given Stivin Hamadi ,27, Mkazi Wa Sangati.
Kamanda Senga Amesema Wakati Muhanga Wa Tukio Hilo Akipiga Kelele Za Msaada Ndipo Wananchi Walijitokeza Na Kumdhibiti Mtuhumiwa Ambaye Hadi Anafikishwa Katika Kituo Cha Afya Tunduma Kwa Matibabu Alikuwa Katika Hali Mbaya, Na Februari 10, 2025, Alifariki Dunia.
Kufuatia Tukio Hilo, Jeshi La Polisi Mkoani Humo Limemkamata Mwanaume Mmoja (Jina Lake Limehifadhiwa) Kwa Mahojiano Kuhusiana Na Tukio Hilo, Huku Wito Kwa Jamii Kuacha Tabia Ya Kujichukulia Sheria Mkononi Ili Kuepusha Kutokea Kwa Matukio Mabaya Kama Hayo Ya Mauaji.