Mbao fupi za dawa futi 12/2×2 @4000 na 2×4 @7500

kasuku mtu

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
321
94
Tunauza mbao fupi za dawa zenye kudumu kwa muda mrefu na zisizo weza kushambuliwa na wadudu waalibifu

Pia itakuepusha na utapeli wa futi kwani mbao hizi ni bora sawa na zile ndefu za kupima tofauti ni vipimo vya urefu hizi tulizo nazo ni standard size ambayo ni futi 12.

kwa kufanyia bandal ya selingbod na gepsam kupaua kwa ghalama ndogo unaweza kufanikisha ujenzi wa kudumu wa mabanda imara ya mifugo mbali mbali pasipo wadudu kushambulia mbao


Haitaji kupima

2×2@4000
2×4@7500
1×8@14500
1×10@18500

Misumali ya aina zote na bati aina zote zinapakana.

Kwa mawasiliano 0715426668 pia whatsapp
Huduma kwa wateja wa dar es salaam tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…