Mbagala Vs Gongo la Mboto

Gily Gru

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
8,624
23,644
Habari za jioni

Kuna kaubishani kametokea site, sasa vijana wameshiba wanabishana kati ya Mbagala na Gongo la Mboto ipi kubwa zaidi?

Kwa anayejua ningependa kufahamu
Thank you
 
Niko seat ya mbele
Pia nahitaji mwongozo
Wanaojua waje
Nasubiri comments
 
nilitegemea suala lako litakuwa ni wapi mahali pazuri pa kufanyia biashara, au kuweka makazi n.k nifunguke lakini kwa ishu yako hii ngoja niwaachie wazee wa postkodi hao ndio wataidadavua vizuri maana ndio wamezunguka nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa
 
Habari za jioni

Kuna kaubishani kametokea site, sasa vijana wameshiba wanabishana kati ya Mbagala na Gongo la Mboto ipi kubwa zaidi?

Kwa anayejua ningependa kufahamu
Thank you
Mmeshafungua shule ????
 
Back
Top Bottom