Mazishi

Love point

Member
May 12, 2017
8
5
Hivi ni kweli kwamba maiti huzuia/kukataa kuzikwa na muda mwngne kufanya hata vyombo vya usafiri kugoma Kwend??
Nisaidieni Jaman maaana hua Napata wakati mgumu kuelewa wana Jf
 
Hivi ni kweli kwamba maiti huzuia/kukataa kuzikwa na muda mwngne kufanya hata vyombo vya usafiri kugoma Kwend??
Nisaidieni Jaman maaana hua Napata wakati mgumu kuelewa wana Jf
Inategemea na unachokiamini au kilicho kichwani mwako
 
Maiti haina uwezo wowote wa kuzuia lolote lile. Maiti haina uwezo wa kujua lolote linaloendelea juu yake.

Ila kama kuna maneno marehemu aliyatamka alipokuwa hai huweza kufanyiwa kazi na mashetani au mamizimu yanayozunguka zunguka duniani humu yakitafuta kazi ya kufanya.

Hivyo lolote la ajabu litakalotokea kuhusiana na msiba fulani huwa linafanywa na mashetani kutokana na maneno flani aliyoyatamka marehemu alipokuwa hai.
 
Yah nikweli na niliwahi kushuhudiaaa....ila kunakuwa na sababuu lbd kabla marehemu hajafa alisema mfanoo::asizikwe sehemu flank...,au asivaliwe sareee...,au flan na flan asilie mambo ypo mengiii..... Kwahiyo vitu km hivyoo vipo navinatokea kwenyee jamii zetuui
 
weka vidio tafadhali
 
Umejuaje
 
Ninajua kwa sababu nimekulia kwenye jamii inayoamini katika mizimu. Nilikuwa na maswali mengi sana kuhusu ulimwengu wa roho unavyofanya kazi. Hadi nilipoupokea WOKOVU na kujazwa Roho Mtakatifu ndipo nikaanza kupokea majibu ya maswali hayo kwa namna isiyokuwa ya kawaida.

Ninamshukuru Mungu kwa sasa ninamjua Mungu na shetani pia ninamfahamu - (Kwa kifupi ulimwengu wa roho ninaujua vilivyo)
 
Wewe ni malaika??
 

Hizo story tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…