Mayai trek 10 kwa siku yanahitajika.

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,701
1,803
Wadau wafugaji salamu zenu. Kuna mtu anahitaji kupata mayai ya kisasa kila siku trei 10. Kwa mwenye uwezo anitaarifu tafadhali.

Mhitaji yupo Dar es salaam Kimara.
 
Last edited:
Remmy, post: 15057450, member: 16543"]Wadau wafugaji salamu zenu. Kuna mtu anahitaji kupata mayai ya kisasa kila siku trei 10. Kwa mwenye uwezo anitaarifu tafadhali.
Uko.mkoa gan mr
 
Wadau wafugaji salamu zenu. Kuna mtu anahitaji kupata mayai ya kisasa kila siku trei 10. Kwa mwenye uwezo anitaarifu tafadhali.

Mhitaji yupo Dar es salaam Kimara.
Ninayo mayai ya kisasa. Nipigie 0788407407
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…