Mimi Mungu niepushe na maumivu ya moyo....eeeh ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke 2016
Ubarikiwe dada mi pia nahitaji mke mwema. Njoo kwa inbox kama hutojali tuone kama inawezekana tukayajenga
Go bow your knees then you will meet Her through Holy Ghost if God says so .. And not inbox , my dear there is the Power on bow our knees Amen go and try it ... Thanks...
Mi naomba tu anibariki nipate mahela
Nilipewa mke ambae nadhani nilimpata kutokana na sara zangu kuwa legevu na yeye akawa mwiba, nilikuwa nimejipanga upya kusali vilivyo hili nipatiwe mke wa ukweli ukweli kwa mwaka 2016, naona dalili za maombi yangu kujibiwa zinaonekana.
Wanaume tunapostpon kuoa wanawake mnakimbilia kuolewa.
Mwanamke jenga.jiendeleze usimsubiri mume ikiwezekana kama muda umeenda tafuta mtoto.
Mbona wanaume tuna jenga tunazaa na tunaenjoy life bila kuoa.cjui nan kawaroga ndoa ina sheria zinazombana mtu kwann mwapenda kujibana.
Example. Kila saa 4 usiku uriport kwa mke/mume.
Mh! Loveissweet huwezi jua yeye kujiexpress na wenye mahitaji kama yake tukaona unaweza kuwa mpango wa Mungu
Namshukuru Mungu Mwaka naona kama unaisha vizuri...vilivyoniliza sasa naona vinanawiri. Msikate tamaa ni kwa Mungu tu utapata vilivyo vyema. Sugua goti dada. Na hata ukipata usiache kuomba pia.