Habari #TeamJamiiforums. Nilikua naomba msaada nijue jinsi ya kuwa wakala wa MAXMALIPO. Nataka nijue sifa,vigezo na mashariti ya kuweza kufanya hiyo huduma katika jamii yangu. Pia nijue na kiasi cha fedha nacho takiwa kuwa nacho.
Sikia,nina mishe zangu na ni mjasiliamali ambae nimetoka mbali sana... Pia nimesomea biashara,nina vyeti vya biashara na vya ujasiliamali. Hivyo natumia kila elimilu nilio pata pale ninapo weza na ninapo ona pana faida kwangu.