Wanataka Gaza iunganishwe na West Bank ili zote ziwe chini ya utawala wa Mahmoud Abbas ambaye ni kiongozi wa Fatah na ambaye kidogo ana uelewa mpana tofauti na hivi vikundi vya kigaidi kama Hamas na Islamic Jihad.
Ila kwa sasa hamna mjadala tena kwamba hivi vikundi vya kigaidi kama Hamas na Islamic Jihad ndio hivyo tena watapewa ✋ wa kwaheri kwenye utawala wa kipalestina.
Ni wazi kwamba wapalestina wengi hawavitaki hivi vikundi vya kigaidi kama Hamas na Islamic Jihad kwa sababu wanaona adha wanayopata kutokana na vitendo vyao vya kigaidi.
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Baraka na Ehud Olmert wameungana na Rais Isaac Hezrog kumponda sana Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa sasa kwa jinsi ambavyo amelitumbukiza taifa lao katika matatizo na vita.
Katika pendekezo lake, Ehud Olmert amesema baada ya vita NATO itumike kuirudisha Gaza kwa wapalestina, akimaanisha kwamba Ukanda wa Gaza urudishwe kwa wapalestina upande wa ukingo wa magharibi aliko Mahmoud Abbas.
Ni kawaida yao wayahudi kuleta fitna kila hatua na hakuna siku atakupa suluhisho kwa faida yako. Fitna hiyo kuna dalili imeshaingia kwenye akili ya Mahmoud Abbas ambaye anatawala koo za kipalestina zilizotenganishwa na makuta ya zege na seng'enge ambapo familia moja haiwezi kutembelea familia nyingine bila kupitia vizuizi vya majeshi ya Israel.
Nato should help to restore Gaza Strip, says former Israeli PM
View attachment 2786279
Huyo Mahmoud Abbas huko West Bank hawamtaki vipi akaitawale Gaza, huyo si puppet tu wa kimarekani hakuna mtu anaye mjaliGaza inarudi kwenye utawala wa Abasi.
Wapalestina wameanza kuuawa na kufukuzwa kwenye ardhi zao hata kabla ya Hamas haijafikiliwa kuanzishwa hivyo punguza uzezeta na ufala.Wanataka Gaza iunganishwe na West Bank ili zote ziwe chini ya utawala wa Mahmoud Abbas ambaye ni kiongozi wa Fatah na ambaye kidogo ana uelewa mpana tofauti na hivi vikundi vya kigaidi kama Hamas na Islamic Jihad.
Ila kwa sasa hamna mjadala tena kwamba hivi vikundi vya kigaidi kama Hamas na Islamic Jihad ndio hivyo tena watapewawa kwaheri kwenye utawala wa kipalestina.
Ni wazi kwamba wapalestina wengi hawavitaki hivi vikundi vya kigaidi kama Hamas na Islamic Jihad kwa sababu wanaona adha wanayopata kutokana na vitendo vyao vya kigaidi.
Sio wahayudi wote wana support Israel, wale waliopo kule ni right wing zionistsMayahudi waliolaaniwa na laana inaendelea kuwatesa, wanauwa wazee, watoto, watu wazima, hawa utasema watu wema!!! Kwanini HAMAS wawe magaidi ila mayahudi wawe wazuri!!!
Huyu na uhakika ni "Mkristo"Wapalestina wameanza kuuawa na kufukuzwa kwenye ardhi zao hata kabla ya Hamas haijafikiliwa kuanzishwa hivyo punguza uzezeta na ufala.
Alafu huo mkono wa kwa heli unawapaje hamas hali yakuwa mpaka sasa wayahudi wapo wanajinyea nyea kuingia gaza badala yake wamekalia kuuwa watoto maana ndo wanalo weza.
Wakristo wenye akili za hizo ni wakristo wa Africa hasa hasa Tz na tatizo hapa ni elimu.Huyu na uhakika ni "Mkristo"
Kuna watu hawana kitu kichwani kiasi cha kuamini hii ni vita ya kidini na Israel ni ndugu zao au nchi muhimu kwa mujibu wa dini yao
Sio wakristo wote wenye imani hii, bali wajinga kadhaa
Angejua hao wa Israel hawana connection yoyote ile ya kitamaduni au kidamu na Wayahudi wanaotajwa kwenye biblia
Ukisema hao zionists kule ni wazungu waliofukuzwa ulaya na wenzao kwasababu walikua na asili ya kiyahudi upo sahihi
Hawa watza wametekwa kwa kuletewa mipesa kujenga majengo makubwa na hakuna waumini wa kuyajaza.Ni pesa za kimarekani tu zinazowasumbua.Wakristo wenye akili za hizo ni wakristo wa Africa hasa hasa Tz na tatizo hapa ni elimu.
lakini ukienda mfano America ya kusini raia wa mataifa hayo karibia wote ni wakatoriki lakini kuanzia serikali,raia wao wanawaunga mkono wapalestina.
Umwataja wenzake kama wajinga,mbona naona ujinga mwingi tu kichwani kwako.Huyu na uhakika ni "Mkristo"
Kuna watu hawana kitu kichwani kiasi cha kuamini hii ni vita ya kidini na Israel ni ndugu zao au nchi muhimu kwa mujibu wa dini yao
Sio wakristo wote wenye imani hii, bali wajinga kadhaa
Angejua hao wa Israel hawana connection yoyote ile ya kitamaduni au kidamu na Wayahudi wanaotajwa kwenye biblia
Ukisema hao zionists kule ni wazungu waliofukuzwa ulaya na wenzao kwasababu walikua na asili ya kiyahudi upo sahihi
Washia bwana mkiuawa nyie ni watoto, ila nyie mkiua, kubaka na kuteka watoto na wanawake hao ni wanajeshi la IDF🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wapalestina wameanza kuuawa na kufukuzwa kwenye ardhi zao hata kabla ya Hamas haijafikiliwa kuanzishwa hivyo punguza uzezeta na ufala.
Alafu huo mkono wa kwa heli unawapaje hamas hali yakuwa mpaka sasa wayahudi wapo wanajinyea nyea kuingia gaza badala yake wamekalia kuuwa watoto maana ndo wanalo weza.
Kiongozi alikuwa Marehemu Yasir Arafat alikuwa na msimamo yule mzee,Allah amrehemu amiin.Huyo Mahmoud Abbas huko West Bank hawamtaki vipi akaitawale Gaza, huyo si puppet tu wa kimarekani hakuna mtu anaye mjali
Kabaki tu kuhudhuria mikutano hana uwezo wa kusimamisha vita wala kuanzisha vita 😂
Una ushahidi hapo wa wanawake walobakwa labda...maana naona haya mambo ya kubaka yanasemwa sana halafu evidence za uhakika hatuzioni...hebu leta ushahidi mkuuWashia bwana mkiuawa nyie ni watoto, ila nyie mkiua, kubaka na kuteka watoto na wanawake hao ni wanajeshi la IDF🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Palisemwa watoto 40 wamekatwa vichwa lakini mpk leo hatujaoneshwa huo ushahidi....sana sana wamekuja kukanusha wnyewe kwmba ile taarifa haikuwa kwli....Una ushahidi hapo wa wanawake walobakwa labda...maana naona haya mambo ya kubaka yanasemwa sana halafu evidence za uhakika hatuzioni...hebu leta ushahidi mkuu
Hamas ilichaguliwa kwa kura kwenye uchaguzi halali.Wanataka Gaza iunganishwe na West Bank ili zote ziwe chini ya utawala wa Mahmoud Abbas ambaye ni kiongozi wa Fatah na ambaye kidogo ana uelewa mpana tofauti na hivi vikundi vya kigaidi kama Hamas na Islamic Jihad.