Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,635
- 13,881
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Baraka na Ehud Olmert wameungana na Rais Isaac Hezrog kumponda sana Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa sasa kwa jinsi ambavyo amelitumbukiza taifa lao katika matatizo na vita.
Katika pendekezo lake, Ehud Olmert amesema baada ya vita NATO itumike kuirudisha Gaza kwa wapalestina, akimaanisha kwamba Ukanda wa Gaza urudishwe kwa wapalestina upande wa ukingo wa magharibi aliko Mahmoud Abbas.
Ni kawaida yao wayahudi kuleta fitna kila hatua na hakuna siku atakupa suluhisho kwa faida yako. Fitna hiyo kuna dalili imeshaingia kwenye akili ya Mahmoud Abbas ambaye anatawala koo za kipalestina zilizotenganishwa na makuta ya zege na seng'enge ambapo familia moja haiwezi kutembelea familia nyingine bila kupitia vizuizi vya majeshi ya Israel.