Mawaziri, Makatibu Wakuu, Makamishana na Wakurugenzi waanze kutembelea RAV4

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,706
149,945
Kama kweli tumeamua kubana matumuzi,basi viongozi hawa waandamizi serikalini waagizwe kuacha kutumia magari ya anasa na yenye gharama kubwa maarufu kama "mashangingi" na badala yake watumie RAV4 au Cruiser Mkonge.

Ni suala la kutoa waraka tu kama huu waraka wa kusitisha ajira na ule wa kuzuia safari za nje ya nchi bila kibali.

Mashangingi yatumike kwa safari maalumu kama za vijijini lakini sio kuzunguka nayo mijini kwenye barabara nzuri.
 
Tuige Rwanda katika hili. Hata mchi ndogo kama Lesotho magari ya Wizara yapo pool mawili tu. JPM yaitishe uyapige mnada tutabana matumizi sana.
 
Kwa mizunguko ya hapa mjini watumia tu daladala na mabasi ya mwendokasi.
 
Halafu mnadai mmefungwa midomo
Jf ndio sehemu pekee iliyobaki kwa sisi kusemea , na tena tumeibakisha kibabe tu , wewe na wanaccm wenzio mnatamani ifungwe hata leo ili muendelee kutamba kule Tbc , hata hivyo tutapambana mpaka tone la mwisho .
 
Mkuu umedhamilia kufukua visukari vya watu ?
 
Mafuta yanafujwa na Mashirika ya umma SU na ya STK na STJ. wana Sheli tunazijua ushahidi upo wanajaza lira 20 wanaandika 200. lts . 1) mwisho saa 10 gari ya mlipa kodi kuonekana barabarani! tutaokoa mabilion. Msaidie na JPM Ajue hilo
 
Bila shaka vijana wake wanapita humu watamfikishia.
 
Hizo gari zinatembea kilometa ngapi kabla ya kupewa mafuta mengine??

N.B HATA UONGO UNAHITAJI UTAFITI
 
Bila shaka vijana wake wanapita humu watamfikishia.
Mkuu ili suala linafanyiwa kazi. Lipo kwenye mabadiliko ya sheria ya manunuzi. So ni ishu ya kisheria tamko pekee la serikali halitoshi. Magufuli anatisha sana. Tuendelee kumuombea haya mambo sio mepesi kuna watu wamemaliza waganga mpaka naija ila mnyantuzu kajipanga sana kuwaharibia.
 
Land Cruiser Prado New model... cc 2700, na ni nzuri na very economical.. kwa kila kitu mafuta na matengenezo
 
Kumbe walikuwa wanaongea tu hata sheria hawajazifanyia marekebisho!!
 
Kumbe walikuwa wanaongea tu hata sheria hawajazifanyia marekebisho!!
Muswada wa manunuzi umepelekwa bungeni kwa hati ya dharula. Kuna mambo hayabadiliki kienyeji lazima uanzie kwenye sheria inayotaka nini kinunuliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…