Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,033
- 151,255
Habari Wakuu!
Siku chache zilizopita, niliweka uzi hapa Jukwaani nikihoji uhalali wa mawaziri kulipwa perdiem wawapo Bungeni. Mada ile ilitokana na tweet ya John Heche aliedai Waziri Mkuu analipwa perdiem awapo Bungeni.
Hata hivyo, Siku ya leo Mhe. Kitila Mkumbo amejitokeza kuchangia mada husika ambapo amekanusha kuwa mawaziri hawalipi perdiem wawapo Bungeni.
Mhe. Kitila amekanusha kupitia comment no. 98 kwenye uzi husika ambao unapatikana kuptia link hii hapa chini:
Swali: Kwakuwa Waheshimiwa hawa wote wamewahi kuwa wabunge huku Kitila akiendelea kuwa mbunge, tumuamini nani kati yao?

Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?
Huwa tunahangaika na vijizi vodogovidogo wakati mafisadi wakuu wapo pale juu kileleni na wakijiona ni halali wao kutuibia watakavyo!
www.jamiiforums.com