Mawakili Medium Mwale na Loom Ojare ni majambazi?

Haya ngoja waje
 
Ndio hawa wanamtetea Sabaya ?
 
Kila mtu ana haki ya kuhesabiwa hana hatia mpaka mahakama itakapothibitisha kwa ushahidi kwamba alitenda kosa analotuhumiwa nalo. Kazi ya ya wakili ni kutetea haki ya mteja wake haijalishi alitenda kitendo gani maana kabla ya hukumu mshitakiwa hana hatia.

Kwa kuwa umelalamikia mawakili tajwa wamekuwa wakitetea washitakiwa wa makosa makosa yakiwemo ya ujambazi wa kutumia silaha hapo umethibitisha kwamba ni kweli upande wa mashitaka ulishindwa kuthibitishwa kwamba washitakiwa walitenda kosa waliloshitakiwa nalo kwa hiyo hao wanahesabika kama mahiri na nguli katika sheria hivyo wanasitahili kupongezwa na umewaongezea wateja zaidi kwa mjibu wa sheria. Wakili haruhusiwi kujitangaza kwa nia ya kufanya uwakili lakini wewe umewasaidia vya kutosha kuwapatia wateja bila kuingia gharama zozote kubwa zaidi ya sifa zao.
 
Kuna mawakili wanabobea kutetea watuhumiwa wa ujambazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…