Msinjila89
Member
- Aug 4, 2019
- 14
- 7
Habarini wapendwa,nmekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya tumbo chini ya ubavu upande wa kulia nmeenda hospitali kadhaa nimepigwa ultra sound lakn wanasema hamna kitu,huwa naishiwa kupewa dawa za maumivu tuu.Na kjna kipind kinapotea kabsana muda mwingine kinanirudia yaani hadi ninapoingiza hewa ndani (inhalation) kinaniuma sana.
Nisaidien kwa wanaojua tatzo hilo,
Nisaidien kwa wanaojua tatzo hilo,