Maumivu ya shingo na kichwa kwa nyuma

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
839
472
Naomba elimu juu ya hili tatizo linalonisumbua.Nilishauriwa niwe natumia mito miwili ya kulalia kutokana na tatizo la Acid Reflux.Baada ya mwezi likanianza tatizo la maumivu makali ya shingo na kichwa kwa nyuma.Wakati mwingine yanapenya pande zote za kichwa kuelekea mbele kama short ya umeme.Nilienda Hospital kubwa Dar wakanipiga X-Ray ya shingo na Fuvu.Fuvu halikuwa na tatizo lolote.Shingo wakasema kuna Muscle sparms.Wakanipa dawa za kutuliza maumivu tu.Maumivu yamepungua ila hayajaisha kabisa.Tatizo hili nililipata Dec 2015.Kichwa kwa nyuma kinauma kama kiko karibu na moto,maumivu yanakuja na kutoweka.Kuna siku nakaa siku nzima bika maumivu na pia siku nyingine maumivu yanakuwa kwa muda mrefu.Hasa mchana.Namshukuru Mungu,maumivu hayaniamshi usiku,nalala tu vizuri.Naomba ushauri ma-Dr.
 
 

Je ulipata ufumbuzi wa tatizo lako? Kama ulipata ulitumia dawa gani au njia gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…