maumivu ya korodani na kiuno ni upungufu wa madini ya zinc ambayo yanapatikana kwenye vyakula kama dagaa, chainizi, na mbegu za maboga, na majani ya alfalfa ambayo mizizi yake inaenda chini ardhini miguu 20-30 na kua na hayo madini ya zinc ambayo ukitumia hayo majani kwenye chai inamaliza tatizo lako kabisa mkuu