Maulid Kitenge alimsifia Msemaji mkuu wa Serikali Matinyi na kumponda Msemaji wa Ikulu mh Zuhura Yunus kuhusu ziara ya Korea!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
95,570
167,531
Nakumbuka mtangazaji nguli mh Kitenge wakati anamponda Zuhura na kusema Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya sana alimsifia Mno Msemaji mkuu wa Serikali mh Matinyi

Kitenge alisema Baada ya VoA Kutangaza ule uzushi kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ikiwa huko huko Korea kusini ilishindwa kukanusha lakini mh Matinyi akiwa hapa Nyumbani alihangaika huku huku na kuwatafuta Wao Waandishi wa Habari na kutoa Ufafanuzi

Sijui imekuwaje tena 🐼

Mlale Unono 😀

PIA SOMA
- Uteuzi Juni 15, 2024: Rais Samia kafanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali. Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atenguliwa
 
Tuna changamoto kubwa sana ya kutumia watu wajinga kwenye ku handle serious issues,hii inaligharimu taifa ndio mana kunapotokea tension hakuna watu serious wa ku respond kila mtu anaongea lake mwisho wa siku wanaharibu zaidi hili eneo litazamwe propaganda ni taaluma inataka mtu mwenye upeo mkubwa,anaejua mambo current,anaweza kufanya analysis ,asiwe na papara papara na mtu ambae anaweza kujenga ushawishi kwamfano leo hii mtu kama TAL hata ikitokea amekuja na takwimu au taarifa ambayo sio sahihi jamii itaamini na kutokua na pressure kubwa yakusakamwa kwakusema uongo, lakini hawa wengine hawana huo uwezo na propaganda sio kazi ambayo kila mtu anaiweza na sio kazi nyepesi hivyo lazima watafute watu makini wanaoweza ku handle haya mambo kwa sasa sisiemu haina hao watu generation ya sasa na dunia kwa ujumla ipo so complex inataka watu wenye akili nyingi sio uongo uliopitwa na wakati
 
Nakumbuka mtangazaji nguli mh Kitenge wakati anamponda Zuhura na kusema Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya sana alimsifia Mno Msemaji mkuu wa Serikali mh Matinyi

Kitenge alisema Baada ya VoA Kutangaza ule uzushi kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ikiwa huko huko Korea kusini ilishindwa kukanusha lakini mh Matinyi akiwa hapa Nyumbani alihangaika huku huku na kuwatafuta Wao Waandishi wa Habari na kutoa Ufafanuzi

Sijui imekuwaje tena 🐼

Mlale Unono 😀

PIA SOMA
- Uteuzi Juni 15, 2024: Rais Samia kafanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali. Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atenguliwa

Jamaa anataka yeye ndiye awe msemaji🤔
 
Hi nafasi angepewa tu Manara
 
Back
Top Bottom