Matunda kwa afya yako

marandu2010

JF-Expert Member
Aug 7, 2010
1,201
446
Buguruni chama, kama unaelekea ubungo,pakti moja 1000,ni msetu wa matunda aina nyingi,jenga kinga,imarisha kinga, boresha afya ya mwili, piga simu no 0652888045 au 0658327429..karibu sana.
 
Buguruni chama, kama unaelekea ubungo,pakti moja 1000,ni msetu wa matunda aina nyingi,jenga kinga,imarisha kinga, boresha afya ya mwili, piga simu no 0652888045 au 0658327429..karibu sana.View attachment 345884View attachment 345885

Mkuu huo ndio ujasirimali unaotakiwa.

Jitahidi utafute jokofu la kawaida kwa kuanzia na baadae mashine ndogo ya kukamulia juisi kama ya machungwa na embe.

Unaweza kujikuta unaingiza pesa ya maana kwa mwaka ukawa mbali.

Big up sana yaani!
 
shukrani mkuu,ninazingatia hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…