issakwisssa Member Dec 13, 2016 66 123 Apr 26, 2017 #1 Habarini wana jf Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa mambo mengi anayotujalia na kutulinda na mambaya Wandugu naombeni mwenye ufahamu wa matumizi ya hizi mbolea anielekeze Akizingatia sana nalima matikiti Mbolea ya kwanza ni Npk Na nyengine ni yulea
Habarini wana jf Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa mambo mengi anayotujalia na kutulinda na mambaya Wandugu naombeni mwenye ufahamu wa matumizi ya hizi mbolea anielekeze Akizingatia sana nalima matikiti Mbolea ya kwanza ni Npk Na nyengine ni yulea
P Promenthous JF-Expert Member Apr 2, 2013 338 397 Apr 26, 2017 #2 Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi?? Karibu tushauriane
C Cosmas simbak New Member Jul 31, 2018 2 0 Jul 31, 2018 #3 Nisaidieni nimelima matikiti nimekosa mbolea ya can ili tunda liwe kubwa .mbolea gani nyingine ninunue ?
Nisaidieni nimelima matikiti nimekosa mbolea ya can ili tunda liwe kubwa .mbolea gani nyingine ninunue ?