Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Ndo wakome, funga wote.Watuhumiwa 11 ambao ni watumishi wa TRA watapelekwa Mahakamani Kisutu kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na nyaraka, ikihusiana na manunuzi ya behewa ya kokoto.
Yule mama Chuwa alipodai kwamba alitonywa kwa SMS toka juu kwamba Waziri mkuu anakwenda kumtembelea, aweke mambo sawa na kupelekea kutaka kumdanganya Waziri mkuu kwa kuwasha pump ambayo haijafanya kazi kwa miaka mitano mizima, kiasi cha kupelekea serikali kuibiwa Mabilioni na wajanja, huku Mama Chuwa na aliyemtumia SMS wakiwa wanalijua hilo miaka yote pasi na kuchukua hatua, Je huyo aliyemtumia Mama Chuwa hiyo SMS ni nani? Na kuna sehemu ngapi ambazo madudu bado yanaendelea ni mpaka atakapokwenda kutembelea Waziri Mkuu ndio ayabaini? Na sehemu ngapi ambazo Waziri Mkuu ameshazugwa kwamba hali ni shwari kumbe ni mwendo wa SMS ndio unaotumika siku hizi?Yaani kipindi cha mkwere kuna watu walikuwa wanajenga nyumba ya ghorofa hata nne ndani ya mwezi mmoja. Ndio hawa majipu sasa
Tena iwe haraka kama kesi ya majangili watotungua helicopterWafungwe haraka haraka
Hawa tayari kila mtu anakula miaka 25 teh teh tehTena iwe haraka kama kesi ya majangili watotungua helicopter
Kama kweli alituma hiyo sms basi ndio hiyo red handed yenyewe. Ya kutaka kujua sababu yatakuja baadaye.Mh. Rais anatakiwa "Amfukuze kazi Prof. Muhongo Haraka sana" kwa kosa la kuihujumu serikali yake na kutokuwa mwaminifu kwa kiapo chake mbele ya rais.
Baada ya miezi sita wanatolewa kufanya usafi Amana hospital,huku wanabaki na mihela yaoHawa tayari kila mtu anakula miaka 25 teh teh teh