LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
3,959
13,727
Mkoa wa Ruvuma umepewa jina kutokana na Mto Ruvuma, ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Mkoa huu unapakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa kaskazini, na Mkoa wa Mtwara upande wa mashariki.

Mkoa wa Ruvuma una majimbo ya uchaguzi tisa (9); Songea Mjini, Madaba, Mbinga Vijijini, Mbinga Mjini, Nyasa, Namtumbo, Tunduru Kaskazini na Tunduru Kusini, ambapo Jimbo la Songea Mjini linaongoza kwa kuwa na watu wengi zaidi (286,285), likifuatiwa na Jimbo la Mbinga Vijijini (285,582). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Madaba, lenye watu 65,215.

SOMA PIA

Makao makuu ya mkoa yako Songea mjini. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa Ruvuma ni 1,848,794; wanaume wakiwa 902,298 na wanawake 946,496.

MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA, MKOA WA RUVUMA
Mkoa huu una Halmashauri nane (8) zinazojumuisha Mamlaka za Miji na Mamlaka za Wilaya.

MAMLAKA ZA MIJI
Manispaa ya Songea
Kata: 21
Mitaa: 94

Mji wa Mbinga
Kata: 19
Mitaa: 29
Vitongoji: 49

Jumla ya Miji: Kata 40, Mitaa 123, Vitongoji 49
MAMLAKA ZA WILAYA

Wilaya ya Madaba
Kata: 8
Vijiji: 22
Vitongoji: 170

Wilaya ya Mbinga
Kata: 29
Vijiji: 117
Vitongoji: 782

Wilaya ya Namtumbo
Kata: 21
Vijiji: 66
Vitongoji: 424

Wilaya ya Nyasa
Kata: 20
Vijiji: 84
Vitongoji: 421

Wilaya ya Songea
Kata: 16
Vijiji: 56
Vitongoji: 443

Wilaya ya Tunduru
Kata: 39
Vijiji: 157
Vitongoji: 1,178

Jumla Kuu ya Mkoa: Kata 173, Mitaa 123, Vijiji 551, Vitongoji 3,691. Mkoa wa Ruvuma una mchango mkubwa na uwiano mzuri wa kimaendeleo kwa wananchi wake.

Screenshot 2024-10-01 103301.png

CHANZO: TAMISEMI

Soma Pia:

Ruvuma.jpg

Hali ya Kisiasa
Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa ambayo kwa kiwango kikubwa nafasi za uongozi katika ngazi za serikali za mitaa, udiwani na ubunge zinashikiliwa na Chama cha Mapinduzi CCM ambapo hali hiyo ilisababishwa na uchaguzi wa serikali za Mitaa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu 2020.

Katika Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 uliwapitisha bila kupingwa wagombea wa CCM . Aidha kulitokea dosari za kuenguliwa kwa wagombea wa vyama vya upinzani kwa madai ya kukosa sifa za kugombea hivyo kupelekea baadhi ya vyama kujiondoa katika uchaguzi huo.

Katika kuelekea Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa mwaka huu 2024 matarajio ni kuwepo kwa usawa wa democrasia na haki kwa kila mmoja kushiriki uchaguzi bila kuwepo na viashiria vya kunyima uhuru kwa baadhi ya vyama vya siasa hapa nchini.

Pia, soma
 
View attachment 3111887

Ruvuma stand upppp... tunaweka kambi
 
Back
Top Bottom