Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jan 2017: Mbowe must go

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,036
9,326
Ni dhahiri sasa Mheshimiwa Mbowe hana mbinu mpya, kila anachokifanya katika chama ameprove failure. Hana Input yoyote yoyote ya kukikwamua chama kutoka chama cha kushindana na kuwa chama cha kushinda!.

1. Tamaa yake ya harakaharaka, ilipelekea kufanya maamuzi yaliyokiondolea chama falsafa ya kupambana na ufisadi.
2. Kuingilia kwake mchakato wa uchaguzi ndani ya chama, kwa mfano kumkata ndugu Sosopi kumekiondolea chama ajenda ya kupigania demokrasia nje ya chama na ndani ya chama
3.Kushindwa kwake kuisimamia operesheni UKUTA, kumekifanya chama kisinyae, kiwe kama mdondo wa kuku asiyeweza kujitetea, huku akitoa nafasi bwerere kwa CCM kujinadi peke yake nchi nzima

Athari za maamuzi haya ni
1. Wananchi kupoteza imani na Chama, na badala yake kuona social media ndo kimbilio lao

Matokeo mabaya kabisa ya chama katika uchguzi huu mdogo, ni meseji kwa Mheshimiwa Mbowe, kwamba Chama kinahitaji new Leadership, ni dhahiri hana mbinu za kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka hatua inayofuata. Ni bora akawa Muungwana kama Mwalimu Nyerere, aliyeona kuwa nchi imekuwa ngumu kwake akajiweka pembeni!
 
Aende wapi, Billicanas ?
 
You might be right,lakin the fact that wengi wanaotaka Mbowe a step down ni wa kutoka CCM
Hapo ndipo tunapopata Shida kidogo
 

Anzisha chama chako achana na CHADEMA
 
Mjinga pekee ni yule anayeamini cdm haiaminiwi na watanzania wakati anajua wapinzan wamezuiliwa kufanya siasa. Kama ccm inapendwa na watz basi waache cdm na vyama vngne vifanye siasa kwa uhuru ndio tutajua chama kipi hakipendwi.
 
Solution hapa ni kuwa na new strategy. lakini tujue huko juu wanakandamiza upinzani kuliko kipindi kingine chochote. Pia CCM imefanikiwa kuwadanganya watanzania kuwa CHADEMA ni chama cha UKANDA na kikabila
 
Wengi tulionya kuwa ujio wa Lowasa ndani ya Chadema ni sawa na kudumbukiza chama kwenye lindi la mavi ya shingo.....Lakini wajinga wachache wakashangilia eti wabunge wameongezeka..... wakasahau msingi wake ni toka serikalini za mitaa .

Yaani Chadema kujinasua lindi hili ni Lowasa astaafu siasa yaani aachane na Chadema kabisa na Mbowe ajiuzulu Uenyekiti.......
 
hii ndo sampuli ya wagombea wa chagadema
mnamtaka mtu sampuli ya lipumba poleni ukawa hawana cha kupoteza na hawapoteze chochote kwenye uchaguzi huu siku mkatunyanganya halmashauri kwa wingi wenu wa madiwani sio ushirikina wa kinondoni mliofanya nndo kweli tutakuwa tumepoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…